News and Events Change View → Listing

MAKAMU WA RAIS SAMIA HASSAN AWASILI NAMIBIA KUMWAKILISHA RAIS DKT. JOHN MAGUFULI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Hassan amewasili  Mjini Windhoek Namibia leo Agosti 15, 2018 kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Magufuli katika…

Read More

South Africa identifies 90 schools for teaching Kiswahili on trial basis: envoy

Tanzanian Ambassador to South Africa Sylvester Ambokile said on Monday South Africa has identified 90 schools across the country for teaching Kiswahili on trial basis. "I had a meeting with South African Minister…

Read More

Balozi wa Tanzania Lesotho Akutana na Stars, Mwakyembe Ndani

Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Harrison Mwakyembe akiwa na Balozi wa Tanzania Kusini mwa Afrika Sylvester Ambokile na Kaimu Makamu wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Athuman Nyamlani…

Read More

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan Ahudhuria Dhifa Iliyoandaliwa na Rais wa Namibia Mjini Windh

Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi wezake katika ukumbi wa Country Club mjini Windhoek kuhudhuria dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Mwenyekiti mpya wa SADC na Rais wa Namibia Dkt. Hage Geingob…

Read More

Balozi Ambokile aunga mkono jitihada za Watanzania Afrika Kusini

Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Sylvester Ambokile, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa mgahawa wa kisasa  wa chakula cha Kitanzania uitwao Grill House Take Away jijini Johanesburg nchini…

Read More

H.E. Sylvester M. Ambokile presented his Letters of Credence to the President of Botswana

His Excellency, Mr. Sylvester M. Ambokile presented his Letters of Credence to the President of Botswana, His Excellency Lt. Gen. Dr. Seretse Khama Ian Khama, appointing him the High Commissioner of the Republic…

Read More